First year 2012-2013baf na wanabaf waliopo mzumbe,yr1,2&3

R31

Member
Jul 30, 2012
12
2
NOTE:SINA LENGO LA KUTAFUTA SIFA WALA UBAGUZI. Kwa kuwa ni kweli mwaka wa kwanza kwa wanafunzi wa Mzumbe hukutana na likizo ndefu,kama sijakosea ni from january to july.Je kwa wale wana BAF mliotutangulia mnatushauri tusome nini ktk likizo hiyo ambacho kitatusaidia sana kulingana na masomo yetu ya BAF.WanaBAF hususani yr2,yr3 na mlio makazini naomba ushauri wenu tafathari.Natanguliza shukrani kwenu wanajamvi."Malumbano hayajengi"
 
wenzako huwa wanatafuta interns na vitempo kwa wakati huo, hayo mambo ya kujisomea likizo yalikuwa o level watu wanacover topics za kidato kinachofwata katika kidato cha nyuma yani mtu yuko form 3 lakini unakuta keshamaliza topics za form 4 kwa aideni mchikichini, huku chuo mambo hayo hamna mkuu! tafuta tempo au fundisha tuisheni au rudi kijijini ukalime kidogo na baraka za wa zeee
 
NOTE:SINA LENGO LA KUTAFUTA SIFA WALA UBAGUZI. Kwa kuwa ni kweli mwaka wa kwanza kwa wanafunzi wa Mzumbe hukutana na likizo ndefu,kama sijakosea ni from january to july.Je kwa wale wana BAF mliotutangulia mnatushauri tusome nini ktk likizo hiyo ambacho kitatusaidia sana kulingana na masomo yetu ya BAF.WanaBAF hususani yr2,yr3 na mlio makazini naomba ushauri wenu tafathari.Natanguliza shukrani kwenu wanajamvi."Malumbano hayajengi"

likizo ni kuanzia february mpaka july kijana subiri watoe prespectus mpya ya 2013/2014 huwa ina kozi zote unazo takiwa kuzisoma kwa muda wote wa miaka mitatu so kwa kipindi cha likizo utakuwa umeisha jua kozi za semister inayo fuata kwa ushauri wangu unatakiwa usome izo kozi nyumbani kwa kusaidiana na wengine ambao wameisha soma kama hutawakosa komaa mwenyewe kibishi
 
Wakuu mliochangia shukrani sana,ila sijalizika na ushauri wenu.
 
Hongera kuchaguliwa Mzumbe, ila ujipange kwani huku kukosa hostel ni kawaida sana na msuli wa BAF ni balaa, kuhusu staggered we piga job upate mkwanja
 
Back
Top Bottom