financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,360 Aug 23, 2022 #81 MoseKing said: Asome community development anaweza kuja kupambana kwenye NGOs na Wizara ya maendeleo ya Jamii. Naamini Gender development iko ndani humo Click to expand... Thank you mkuu, ntamfikishia huu ujumbe
MoseKing said: Asome community development anaweza kuja kupambana kwenye NGOs na Wizara ya maendeleo ya Jamii. Naamini Gender development iko ndani humo Click to expand... Thank you mkuu, ntamfikishia huu ujumbe
Chief_mataka Member Joined Jan 27, 2022 Posts 98 Reaction score 97 Aug 23, 2022 #82 Good Father said: Atamaliza chuo alaf hatopata cha kufanya Kifupi hizo kozi ni wastage of time kwa dunia ya sasa Click to expand...
Good Father said: Atamaliza chuo alaf hatopata cha kufanya Kifupi hizo kozi ni wastage of time kwa dunia ya sasa Click to expand...
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Aug 23, 2022 #83 Chief_mataka said: Mwenye ujuzi ,hivi BACHELOR OF ART IN HISTORY anakuwa Mwalimu Au Mwana Historia? Click to expand... Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamizi
Chief_mataka said: Mwenye ujuzi ,hivi BACHELOR OF ART IN HISTORY anakuwa Mwalimu Au Mwana Historia? Click to expand... Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamizi
Zehoes JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 512 Reaction score 352 Aug 23, 2022 #84 More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... Acha uongo jamaa MD kafanyeje....? Ukiwa una defend point acha acha kutumia justification kama hizo
More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... Acha uongo jamaa MD kafanyeje....? Ukiwa una defend point acha acha kutumia justification kama hizo
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,293 Reaction score 3,649 Aug 23, 2022 #85 More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... Mwambie anitumie cv yake huyo mwamba chap kwa haraka kuna mchongo
More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... Mwambie anitumie cv yake huyo mwamba chap kwa haraka kuna mchongo
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 8,527 Reaction score 17,194 Aug 23, 2022 #86 More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... MD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana.
More ideas said: Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake. Click to expand... MD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana.
D DEAL88 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2016 Posts 875 Reaction score 1,099 Aug 23, 2022 #87 feyzal said: MD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana. Click to expand... Atakuwa MD wa mchongo Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
feyzal said: MD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana. Click to expand... Atakuwa MD wa mchongo Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 23, 2022 #88 MoseKing said: Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamizi Click to expand... Jobless mwandamizi........
MoseKing said: Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamizi Click to expand... Jobless mwandamizi........
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,882 Reaction score 136,513 Aug 23, 2022 #89 Depal said: Lazima u apply, asipo apply means ni hakwendi chuo… Hawezi pigwa chini vyuo vyote, aangalie kwa acc yake Click to expand... Kapata chuo,sema ataapply tena,
Depal said: Lazima u apply, asipo apply means ni hakwendi chuo… Hawezi pigwa chini vyuo vyote, aangalie kwa acc yake Click to expand... Kapata chuo,sema ataapply tena,
Emperor of the South Senior Member Joined Nov 4, 2019 Posts 140 Reaction score 151 Aug 24, 2022 #90 Selection za ARDHI UNIVERSITY zinapatikanaje jmn? Kwny account ya kutumia maombi inagoma ku-log in na majina hayapatikan mtaani
Selection za ARDHI UNIVERSITY zinapatikanaje jmn? Kwny account ya kutumia maombi inagoma ku-log in na majina hayapatikan mtaani
Emperor of the South Senior Member Joined Nov 4, 2019 Posts 140 Reaction score 151 Aug 24, 2022 #91 Saivi account ya ARDHI UNIVERSITY inafunguka,
monjust Member Joined Sep 19, 2012 Posts 26 Reaction score 15 Aug 24, 2022 #92 KISUNZU YP said: Wametoa PDF la first selection au ni kwenye account ya mwombaji? Click to expand... Mbona ukifungua kwenye website Yao unaona wameandika section lakini pdf haipo?
KISUNZU YP said: Wametoa PDF la first selection au ni kwenye account ya mwombaji? Click to expand... Mbona ukifungua kwenye website Yao unaona wameandika section lakini pdf haipo?
maliyamtu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2017 Posts 2,137 Reaction score 3,876 Aug 24, 2022 #93 Og epysam said: Anhaaa!shukrani mkuu Click to expand... Kama una multiple selection unafanyaje ku comferm chuo
Og epysam said: Anhaaa!shukrani mkuu Click to expand... Kama una multiple selection unafanyaje ku comferm chuo
maliyamtu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2017 Posts 2,137 Reaction score 3,876 Aug 24, 2022 #94 Mnyatiaji said: Hii kitu haiwezekani Click to expand... Subiri yakukute au yamkute mtu wa karibu Yako ndo utaelewa mkuu
Mnyatiaji said: Hii kitu haiwezekani Click to expand... Subiri yakukute au yamkute mtu wa karibu Yako ndo utaelewa mkuu
maliyamtu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2017 Posts 2,137 Reaction score 3,876 Aug 24, 2022 #95 Depal said: Aingie kwenye account yake Click to expand... Mwisho wa ku comferm ni lini
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 24, 2022 #96 maliyamtu said: Mwisho wa ku comferm ni lini Click to expand... Nimetumiwa SMS Mwisho Sept 06
maliyamtu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2017 Posts 2,137 Reaction score 3,876 Aug 24, 2022 #97 Bitoz said: Nimetumiwa SMS Mwisho Sept 06 Click to expand... Asante mkuu
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,712 Reaction score 25,501 Aug 24, 2022 #98 Bitoz said: Nimetumiwa SMS Mwisho Sept 06 Click to expand... Na nani?
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 24, 2022 #99 kyagata said: Na nani? Click to expand... Code 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekee
kyagata said: Na nani? Click to expand... Code 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekee
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,712 Reaction score 25,501 Aug 24, 2022 #100 Bitoz said: Code 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekee Click to expand... Ok
Bitoz said: Code 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekee Click to expand... Ok