Mm Ardhi inagoma kuingia kwenye account vyuo viwili simo nimebakiza Ardhi pekee inaonekana ushindani umekuwa mkubwa sana div two si lolote sasa hivi madogo hawamo kabisa
Wakuu msaada kuna dogo kachaguliwa course ya "Community Development" na nyingine ni "Gender and development:, Vipi ipo iko poa zaidi hata kwenye soko la ajira naadaye ili aconfirm?

That's how we define life.Ukiwa na passion kwa ulichonacho ni rahisi kukiangaikia kuliko kusubiri fursa ikufwate Hivyo vijana tunapotea kusoma kozi kutokana na mawazo ya watu utasikia oooh!"KASOME AFYA INALIPA AU ENGINEERING " pasipo kujari passion kijana anasomea mawazo ya watu end of days analalamika hakuna hajira.eeeh mungu wape upeo vijana wenzetu kuishi katika ndoto zao.