According to Trump kinachombeba Hillary NI uwekezaji KATIKA kampeni ya Matusi dhidi YAKE ambapo Hillary ameweka zaidi ya dollar milion 100 kumkashifu Trump ILA KASEMA sio KWAMBA yeye hawez isipokua hataki kuchezea FEDHA KATIKA mambo ya kujinga AMEWAONYA HILLARY NA FAMILIA YAKE KUA MAKINI MAANA HAPENDAGI UJINGA...