Hii ndio post yangu ya kwanza kama JF Senior Expert Member.......nimejaribu kufikiria kitu cha kupost ila nimekosa...na naogopa kutema pumba.
Cha kusema labda niwashukuru wana JF wote, wana CCM, wana CDM, mafisadi, wazalendo, walioenda Loliondo na wenye imani finyu...
Wote kwa pamoja mmenifanya niweze kuiweka JF kama moja ya TODO zangu kila siku.
Asanteni wote kwa ujumla wenu....nitaendelea kuwakilisha!
Issue siyo dictionary; wengi huwa hatuna tabia ya kuludia kusoma tulichooandika. Na hata kama tukiludia makosa ya kibinadamu hayakosekani. Ndiyo maana kama unaandika mfano Presentation kabla ya kwenda kuisoam mpe mtu mwingine aisome "trust me" utakutana na makosa tuu