The Editor
Member
- Dec 18, 2012
- 23
- 5
Define love kwanza.
Maana tunaweza changanya na kuanza kufanya matusi mara ya kwanza!
Hahahahahahahahahahahaha
hapa kuna ukweli!
I guess you got the guy right and thus why you ended up concluding like this way..right?It just varies from person to person.
Define love kwanza.
Maana tunaweza changanya na kuanza kufanya matusi mara ya kwanza!
jamani hii mbona ipo wazi, fist love haihusiani na mchezo mbaya, ni yule mtu aliyekufanye ujue duniani kuna mapenzi haijalishi umedo nae or nogt,bt ni yule akitajwa akili, viungo vyote vya mwili vinasense his /her presence, nautamani sana huu wakati ujirudie looh, Am in love, oooh yes am in loveeeeeeeeeeeeeeee
Maana firstie wangu siwezi muita first love wangu!
jamani hii mbona ipo wazi, fist love haihusiani na mchezo mbaya, ni yule mtu aliyekufanye ujue duniani kuna mapenzi haijalishi umedo nae or nogt,bt ni yule akitajwa akili, viungo vyote vya mwili vinasense his /her presence, nautamani sana huu wakati ujirudie looh, Am in love, oooh yes am in loveeeeeeeeeeeeeeee
Ni mtazamo tu ndg, its not a formular.
Wenginr now ndo tunahisi feelings kiliko tulikokua mwanzo.
Naweza kwambia kitu kimoja; hujapata mtu anaemzidi wa kwanza, thats the reason
Define love kwanza.
Maana tunaweza changanya na kuanza kufanya matusi mara ya kwanza!
una akili sana
na mie ndo swali nililokuwa nalo.
It just varies from person to person.
Asante kwa ufafanuzi, ujue watu wengi tunapoona neno 'first' linaturudisha kwa aliyekubikiri.
Haya turudi kwenye mada, is there something like true love au ubavu au only love? Do you love only once au weweza penda tena? Na mwisho wa kupenda ni mara ngapi? Is it possible kugundua later in life kuwa yule niliyedhani nampenda kumbe haikuwa hivyo baada ya kukutana na mwingine? Lini au baada ya wapenzi wangapi ndipo ukate tamaa kuwa hakuna kama Abudala?
Define love kwanza.
Maana tunaweza changanya na kuanza kufanya matusi mara ya kwanza!