First lady wa USA (Michelle Obama) atimua Mbio. Kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huku kwetu ni ndoto ya mchana! Bora aende kwenye taarabu vidole juu kuliko MAZOEZI.
 
Dah!!!
 
kihistoria alikuwepo mama Mwl. Nyerere peke yake kwa tz. Yaani huwezi amini hadi sasa huwa akiwa pale msasani anapiga kazi za usafi asubuhi hadi jioni, lakini alivyoingia ruksa tu mh.......... ma first ledy wakawa wa ndani tu, akaingia Chinga nae mama akawa mjasiliamali, kuja kwa mkwele ndo mh!! mama yuko kikampeni zaidi hata muda usio wa kampeni, huwezi amini kama alikuwa mwl. wa shule ya msingi. ila poa wataja juta yakiwafika yaliyowafika akina BAGBOR ndo watajua umuhimu wa mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…