First born kufanana na mamaye

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
333
Reaction score
322
Kuna mhenga alishawahi kunionya kitambo kidogo huko nyuma, kuhusu mtoto Wa kwanza Wa ndoa kufanana na mama take mzazi.
Eti alidai likijitokeza suala hilo ujue ni dalili mbaya sana kwa mustakabali Wa mahusiano nayo.

Ni kwamba mke Mara nyingi hubadirika tabia na kuwa na sifa za ubaba yaan Sauti kuu ya familia.

Mpaka sasa nimehakikisha maneno nayo ya muhenga kuwa yapo sahihi kwa zaidi ya asilimia 80.

Week end njema wana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…