First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

Hao wa mbele wote ni Argentina
 
Upungufu wa wapangaji vikosi humu ndani ni kuwa Ronaldo delima mnamuweka chini inakuwa Kama dharau. Pia inaonekana Africa hawakufanya vizuri watu Kama The great Taribo west au samweli etoo hamja wa include. All in all nilitamani nimuone Robin van Perse kwenye hicho kikosi
 
Wapi the Golden wonders boy Mapung'o Eternity TO of our land
 
Hivi akuna mkampuni yakuandaa vikosi bora vya duniani kwa mjibu wa mapendekezo ya watu wakatupa japo mechi moja tukatane ngebe umu janvini?
 
Back
Top Bottom