Fire and rescue

Fire and rescue

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
habar jmf, hawa jamaa ajira zao vip kimnya had mda huu wkt vikos vyote vishatangaza na mwakan hakuna ajira,election periods
 
Mkuu nadhan umesahau kwa kukukumbusha hawa jamaa ndo walianza mwaka kwa kutangaza post za kumwaga kila daraja kuanzia koplo,sajent had wasaidz wasimamiz na weng waliomba wamemalza koz wapo kazn
 
asante svoca kwa kumwelewesha,ndo kwanza tumeanza job
 
mkuu wameshaanza kazi tayar mbona? nina watu wangu wa5 tayar wapo kazn na mafunzo walishapa wengne kiwila tukuyu na wengne pale uwanja wa taifa mwalimu nyerere
 
hakukua na mafunzo uwanja wa taifa wewe wala mwalimu nyerere usipotoshe watu!! kwani Zimamoto wanapata mafunzo ya kuokota mipira ama kuosga ndege?
 
Back
Top Bottom