Finland kuwa na rais shoga?


kuna kitu sijaelewa hapa.
Rais mtarajiwa anapiga au anapigwa, au yote?
 
At last Wafinn wamekataa kumchagua rais shoga.
 
Nadhani waFINN wengi wako senstive na sexual orientation ya jamii nyingine.Miaka ya 2004/5 walikuwa na rais -mwanamke ambaye kama sikosei alikuwa mlezi wa mashoga, ila yeye hakuwa kwenye orientation hiyo....sasa sijui kama wao wanaitumia strategy hiyo kuonesha kuwa wanajali makundi yote....sijui
At last Wafinn wamekataa kumchagua rais shoga.
 

Kwa kweli wamefanya busara kutokumchagua rais shoga.
 
Wanawake mko wapi angali haki zenu zinaporwa na wanaume?? kwa nini hamuandamani? Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…