Kelele hizo za kuogopa kupigwa mande, Finland na Sweden wanajiunga NATO, na hakuna kitu atafanya, apige sasa nchi za umoja wa NATO tayari aone atavyopigwa mande Urusi , na ndio mwisho wa Putin.Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri
View attachment 2183079
Sasa ajabu ni nini, nchi 30 zinapigana na nchi moja?Kwa hiyo hapo Russia keshashinda vita,anaeshinda vita anafikia hatua ya kubadili hadi Kamanda wa kuongoza mashambulizi.
wanangojea nn wajiungeMkuu ni hivi Putini alizionya Finland na Sweden zisije zikajaribu kujiunga na NATO na zikijaribu watakiona kama anavyokiona Ukrane siku zile za kwanza za umavimizi dhidi ya ya Ukraine na hizi nchi kweli zilirdhiria ndaro za urusi na kuja na sera ya kuendelea na sera zao kutokufungamana lakini baada hii vita ya Ukraine kuonekana madhaifu ya Urusi kwenye vita, hizi nchi sasa zimebadili mtazamo wanasema watajiunga na NATO ili Russia kama akileta ngebe apokee kibano chengine kutoka Finland na Sweden chini ya baba lao Marekani. Ndio mana tunasema zama za Putini zimekwisha
amewaoteaje MKUU wakati UKRAINE inaongoza huko fieldKelele hizo za kuogopa kupigwa mande, Finland na Sweden wanajiunga NATO, na hakuna kitu atafanya, apige sasa nchi za umoja wa NATO tayari aone atavyopigwa mande Urusi , na ndio mwisho wa Putin.
Amewaotea Ukraine mshezi huyu.
JavelinHao mashoga nato mbona hawajaisadia ukraine
Soma comment ya mwenzio huko kwanza ndiyo uelewe mantiki ya comment yangu,yeye anasema NATO wamewatelekeza Ukrain,wewe unakuja na yako hiyo.Pro Russia kaeni kwanza muelewane kabla ya kuvuragana kwa comment zenu hapa.Sasa ajabu ni nini, nchi 30 zinapigana na nchi moja?
Yale yaliyodondoshwa Japan wakati ule yalitokea nchi gani?Putini kutumia kombola la nuclear ni sawa na kujitoa akili ,kusema liwalo na liwe,au ni sawa na m2 anayefikiria kunywa sumu
Unadhani huko atapigana kama Ukraine?Mkuu ni Finland na Sweden.,
Tumuone sasa Putin kama ana majeshi ya kupigana na nchi tatu, Putini kamasi lazima zinamtoka, huku mabint wake wamezuiliwa akaunti zao taaban putin
hahahaaaaNchi zote majirani wa Urusi wanaotaka kujiunga NATO huu ndio wakati sahihi sababu Putin kashabinywa pumbu hapo Ukraine so hawezi kuthubutu kwenda kwingine.
hahahaaaa mtot anatak threesomeMkuu ni Finland na Sweden.,
Tumuone sasa Putin kama ana majeshi ya kupigana na nchi tatu, Putini kamasi lazima zinamtoka, huku mabint wake wamezuiliwa akaunti zao taaban putin
hahaaa soma alama za nyakat bruhHivi Nagasaki na Hiroshima zilivyopigwa bomu la atomic,Tz tuliathirikaje?
mrusi kutoka buza kwa mama kibonge , salute yooAyatume mawili tu yanatosha kuzisambaratisha uingereza na marekani, itapendeza sana kamanda wangu
Atatumia kombora Moja kuelekea nchi gani ? Akithubutu kufanya hivyo urusi itapotezwa kwenye uso wa duniaIli dunia iwe salama inabidi Russia atumie kombora moja tu la Nuclear
mrusi kutoka buza kwa mama kibonge , salute yoo
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Hizi sasa hasira binafsi,kumbe mnapenda kwenda kwa mabeberu,unaonaje ukiomba visa ya RussiaPutin piga hizi takataka hasa za Finland kwanza zilin'nyimaga visa
Lakini wanaona bora wawe hivyo kuliko kuwa na ushirika na Russia kwani ni hasara tu kwao.Rudia hapo kwa Hungary... usisahau Turkey ni nato member, ila yalimpomkuta kwa kutaka kupinduliwa unajua aliyemuokoa? Ndio maana Turkey wapo Nato kimachale machale. Pale kwenye muungano wengine ni wasindikizaji tu...