Finland kujiunga NATO

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319
Idhaa ya kiswahili ya DW inaripoti kuwa nchi jirani na Urusi wanayochangia mpaka ya Finland ipo mbioni kujiunga na Jumuiya ya lujihami ya nchi za Magharibi NATO.

Nchi hiyo imekuwa haifungamani na upande wowote Kwa miaka mingi toka ijitawale ikihofia kumkwaza jirani yake (Urusi). Kiu ya wananchi wa Finland kutaka nchi Yao ijiunge NATO imeongezeka mara dufu kufuatia uvamizi wa Russia nchini Ukraine.
 
Putini kutumia kombola la nuclear ni sawa na kujitoa akili ,kusema liwalo na liwe,au ni sawa na m2 anayefikiria kunywa sumu
Si huwa mnashangiliaga humu mkidai madikteta huwa hawatabiriki, sasa leo hii imekuwaje tena upingane na kauli yenu hiyo [emoji848][emoji16]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…