Yaani hapo kwa mfano wewe unataka kuwa dokta basi utasoma biology, chemi na physics, sio unataka kuwa dokta in the future afu unafundishwa book keeping, commerce, history na hayo ya udoktaApplication ya technologia ya leo inayataka masomo ya physics,chemistry,maths,na mengineyo so itakuwaje hapo
Ok nimekusomaYaani hapo kwa mfano wewe unataka kuwa dokta basi utasoma biology, chemi na physics, sio unataka kuwa dokta in the future afu unafundishwa book keeping, commerce, history na hayo ya udokta
Ukiwa mtoto utajuaje unata kuwa doctorYaani hapo kwa mfano wewe unataka kuwa dokta basi utasoma biology, chemi na physics, sio unataka kuwa dokta in the future afu unafundishwa book keeping, commerce, history na hayo ya udokta
Yaani hapo kwa mfano wewe unataka kuwa dokta basi utasoma biology, chemi na physics, sio unataka kuwa dokta in the future afu unafundishwa book keeping, commerce, history na hayo ya udokta
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijasoma
Jadili mada, acha kutafuta kunijua mimi
Kila mtu kuna kitu hua anatamani tangu akiwa mdogoUkiwa mtoto utajuaje unata kuwa doctor
Ikitokea Tanzania.kuna watoto.watazimia kwa furaha
Circular motion, fluid dynamics, advanced integral calculus, n.k. unasoma madude kama haya ili uyatumie kwenye nini hapa Bongo?Hata simple harmonic motion😀😀😀😀
Mkuu hu spend time na watoto wako? Usinambie kama hujawahi kumsikia mtoto anasema anataka kuwa fulani..... mi nlivokuwa mdogo nlisema nataka kuwa pilot lakini maisha yenyewe haya 😀 anyways wenzetu mtoto anapoanza shule huwa wanamsoma ana intrest ya nini? then wanampeleka katika classes husikaUkiwa mtoto utajuaje unata kuwa doctor
Ndio maana kila siku nasema wenzetu mtoto ana miaka 10-13 anakutengezea software tena useful, njoo tanzania mtoto wa miaka 10-13 umuone anafanya nini afu bado tunafikiria kuzeeshana madarasanikweli mkuu,shule inatakiwa imjenge mtu kukabili mazingira yake,tusome vitu practical tangu wadogo ili tuwe wafanisi,lol
Hizo ni story hata Japan wenyewe hawachagui wakiwa wadogo. Mtoto akiwa mdogo anaweza tamani vitu vilivyopo kwenye mazingira yake anapokuwa anajua vitu vipya vingi zaidi na anabadilikaKila mtu kuna kitu hua anatamani tangu akiwa mdogo
Mtoto anatamani vitu anavyoviona Daktari, Pilot nk lakini mtoto hawezi kujua kwamba kuna Geologyist ni mpaka apate elimu ya awaliMkuu hu spend time na watoto wako? Usinambie kama hujawahi kumsikia mtoto anasema anataka kuwa fulani..... mi nlivokuwa mdogo nlisema nataka kuwa pilot lakini maisha yenyewe haya 😀 anyways wenzetu mtoto anapoanza shule huwa wanamsoma ana intrest ya nini? then wanampeleka katika classes husika
Hata mfumo wetu unatakiwa kuwa reshuffled. Mfano rahisi ni huo ulioutoa; sioni relevancy ya physics kwenye prgramme ya medicine au pharmacy kwa mfano. Kuokoa muda na kuongeza weledi wangebaki sana sana biology na chemistry; kama ni lazima yawe matatu, kwangu mathematics ni relevant than physics. So, ingekuwa CB (best) or CBM.Yaani hapo kwa mfano wewe unataka kuwa dokta basi utasoma biology, chemi na physics, sio unataka kuwa dokta in the future afu unafundishwa book keeping, commerce, history na hayo ya udokta
then its a work of the teacher to learn the intrests of the child, but no we dont have that system, lets teach our kids 9 subjects from Std 1- form 4 and lets give them only 3 when they go advance level... hii ndo elimu ya TZ iliozalisha professors na madokta uchwara, in some cases huwa naamini kama elimu sio ishu, ishu hela tuMtoto anatamani vitu anavyoviona Daktari, Pilot nk lakini mtoto hawezi kujua kwamba kuna Geologyist ni mpaka apate elimu ya awali
Hata hivo ni sawa tu as long as unasoma what is related to your planHata mfumo wetu unatakiwa kuwa reshuffled. Mfano rahisi ni huo ulioutoa; sioni relevancy ya physics kwenye prgramme ya medicine au pharmacy kwa mfano. Kuokoa muda na kuongeza weledi wangebaki sana sana biology na chemistry; kama ni lazima yawe matatu, kwangu mathematics ni relevant than physics. So, ingekuwa CB (best) or CBM.
Japan wenye elimu bora wanafanyaje? Nadhani mfumo wetu wa 7 6 ni mzuri sema masomo wanapewa mengi sana ambayo hayana maana.then its a work of the teacher to learn the intrests of the child, but no we dont have that system, lets teach our kids 9 subjects from Std 1- form 4 and lets give them only 3 when they go advance level... hii ndo elimu ya TZ iliozalisha professors na madokta uchwara, in some cases huwa naamini kama elimu sio ishu, ishu hela tu