Find Mauro WA AC Zach magari(Toyota SIENTA)

imbegete

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
1,299
991
Gari tajwa hapo juu lina tatizo la compressor ya A/C, anahitajika fundi wa kurekebisha tatizo hilo mara moja , tafadhali.
 
Gari tajwa hapo juu lina tatizo la compressor ya A/C, anahitajika fundi wa kurekebisha tatizo hilo mara moja , tafadhali.
FUNDI MZURI WA A/C ZA MAGARI (TOYOTA SIENTA) ANAHITAJIKA.
 
(065) 678-7272 mtafute huyo, anapatikana fire oryx au kituo cha mafuta victoria, sometimea mikoani. Fundi aliyespecillize kwenye ac tu, ni mtaalamu wakutosha, anajulikana kwa jina la Mangi
 
Back
Top Bottom