tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
- Thread starter
-
- #81
hata mimi sitaki waajiri wa aina yako, nyie ndiyo mnaokimbiwa na wafanyakazi kila siku....nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?
hata mimi siwataki kabisaa watoto wa ud kwenye kampuni yangu!!
Ukisoma sentesi ya mwisho ya huyu jamaa, utagundua aina ya waajiri tulionao...huyu anatumia chuo kama nyundo jya kuwakataa watu, nani ajuaye kama nao wengine hawafanyi hivi? Sisemi niajiriwe kwasababu ya GPA au chuo nilichosoma, ila nashangaa hivi vigezo viwili vinapotumika kama kigezo cha kuwaweka pembeni wengine>>sina uhakika na ndiyo maana nikaeileta hapa.nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?
hata mimi siwataki kabisaa watoto wa ud kwenye kampuni yangu!!
Hakuna suala la inferiority complex mkuu,mimi nilipata admission UD ila sikuja kujiunga huko nikaenda chuo kingine ambacho niliamini kwamba ndo muelekeo wa career niliyoitaka na sasa ninayo naishi a descent life,kubali mkuu "unaposema upper 2nd za UD zinaogopwa means what"? hata waliocomment wengi wameweka comment kila mtu akiangalia na kukuelewesha kuwa chuo si base ya arguement at all,pole
dogo, mimi ni mtu makini sana, kiukweli nasikitishwa sana pale mtu anapo onesha majigambo badala ya kudhihirisha taaluma yake kwa vitendo, watu wa namna hiyo ndiyo adui zangu namba moja. nasikitika nimeshindwa kukuelewesha!Ukisoma sentesi ya mwisho ya huyu jamaa, utagundua aina ya waajiri tulionao...huyu anatumia chuo kama nyundo jya kuwakataa watu, nani ajuaye kama nao wengine hawafanyi hivi? Sisemi niajiriwe kwasababu ya GPA au chuo nilichosoma, ila nashangaa hivi vigezo viwili vinapotumika kama kigezo cha kuwaweka pembeni wengine>>sina uhakika na ndiyo maana nikaeileta hapa.
dogo, mimi ni mtu makini sana, kiukweli nasikitishwa sana pale mtu anapo onesha majigambo badala ya kudhihirisha taaluma yake kwa vitendo, watu wa namna hiyo ndiyo adui zangu namba moja. nasikitika nimeshindwa kukuelewesha!
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo
nitawezaje kukuelewesha bana, wakati wewe umezoea kudesa? hauotoweza kunielewa kamwe kijana, endelea kulalama tu na kukataliwa kwako kwenye ajirasiyo umeshindwa kunielewesha, huwezi kuelewesha...hayo matusi ndiyo umakini unaousema? jitahidi kujiheshimu
nitawezaje kukuelewesha bana, wakati wewe umezoea kudesa? hauotoweza kunielewa kamwe kijana, endelea kulalama tu na kukataliwa kwako kwenye ajira
hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo
kwamba ni vilaza kwa sababu your gf was working for them, au your gf was working for them ndio maana wao (finca) ni vilaza?
Ww inaekea form six ulipata foo ndo maana ud walikutema kilaza
Umenichekesha sana mpaka mbavu zinaniuma.....nani kakuambia siku hizi watu wanaangalia tena GPA ndio upewe kazi?ngoja nikupanguse ujinga kijana,taasisi za kifedha,haswa microfinance institutions,huwa wanaajiri sana kwa kigezo cha uzoefu wa kazi na uwezo wako utaowashawishi kwamba unaweza kuwa sehemu ya faida kwao,taasisi za namna hii zimekuwa nyingi na ushindani umekuwa mkubwa kwenye kunyangananya wateja,kwa mfano,kijana kenda kufanya interview EFC,hapo bado anafanya kazi ACCESS kama loan officer,anatafuta maslahi zaidi,sasa pale EFC anajitetea kwamba tayari ana Portfolio kubwa na wateja wake wakimaliza mikopo yao ACCESS atawashawishi waamie EFC,hiyo ndo habari kila boss anataka kusikia,ndio maana unaona wanaoajiriwa wengi kama loan officers tayari walikuwa kwenye taasisi nyingine za namna hiyo,sisemi kwamba freshers hawaajiriwi au hawaajiriki!nasema GPA sio kigezo cha kupata kazi au eti sababu ni ya UDSM!wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya Listing Not Found
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
Umenichekesha sana mpaka mbavu zinaniuma.....nani kakuambia siku hizi watu wanaangalia tena GPA ndio upewe kazi?ngoja nikupanguse ujinga kijana,taasisi za kifedha,haswa microfinance institutions,huwa wanaajiri sana kwa kigezo cha uzoefu wa kazi na uwezo wako utaowashawishi kwamba unaweza kuwa sehemu ya faida kwao,taasisi za namna hii zimekuwa nyingi na ushindani umekuwa mkubwa kwenye kunyangananya wateja,kwa mfano,kijana kenda kufanya interview EFC,hapo bado anafanya kazi ACCESS kama loan officer,anatafuta maslahi zaidi,sasa pale EFC anajitetea kwamba tayari ana Portfolio kubwa na wateja wake wakimaliza mikopo yao ACCESS atawashawishi waamie EFC,hiyo ndo habari kila boss anataka kusikia,ndio maana unaona wanaoajiriwa wengi kama loan officers tayari walikuwa kwenye taasisi nyingine za namna hiyo,sisemi kwamba freshers hawaajiriwi au hawaajiriki!nasema GPA sio kigezo cha kupata kazi au eti sababu ni ya UDSM!
FINCA inasimama badala ya nini?[/Q ntaielezea finca kwa kutaja mission yake. mission of finca is to provide financial services to Tanzanian;s lowest income entrepreneurs so they can create jobs,build assets and improve their standard of living..kuhusu tuhuma za huyu jamaa ni uongo...huja fikia vigezo wanavyo vitaka.ungeitwa
FINCA inasimama badala ya nini?