dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=18006
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
Tatizo watu wengi wanaichukia UDSM kwasababu walikua na dreams za kusoma pale ila wakakosa nafasi sababu ya ufaulu mdogo,ni ukweli usiopingika kile ni chuo bora east africa na kina historia na heshima kubwa ndani na nje ya nchi! wakufunzi wa viwango vya juu mfano prof shivji,kabudi,dr lwaitama.. na kimetoa na kinaendelea kutoa wanaharakati makini kama kina tindu lisu,zito kabwe,josh nassari na wengineo..
Jamani kuwa great thinker c kitu kidogo, mbn FINCA inajulikana na wengi tuliwahi apply,tukaitwa, tukafanya kazi na kuacha na sasa tuko Serikalini,vigezo vya kuitwa viko vingi mostly wanaangalia ulisoma nini si ulipata nini mfano hivi inaingia akilini umesoma mambo ya laboratory science au forestry ama fine and performing arts uende kuomba kuwa loan officer wakati hata idea ya ratios huna,hujui asset au liability ni nini!you must be a joke maombi yako wanatupa kwenye dust bin,as i said vigezo ni vingi mkuu kuna case ya umri based on the nature of the work itself au hilo pia hufahamu?pia kubwa ni personal biasness ya yule au wale waliopewa jukumu la kuselect nk nk,fanya utafiti wa kina mkuu before you put your poorly researched kama si poor minded threads jamvini na matokeo mnaleta ubishani wa vyuo usio na tija wala faida kwa wadau,over
mkuu unaweza ukanipa sababu zinazofanya waajiri watu wapya kila mara? maana huwa haipiti hata miezi miwili wanatangaza nafasi mpya...
Tatizo watu wengi wanaichukia UDSM kwasababu walikua na dreams za kusoma pale ila wakakosa nafasi sababu ya ufaulu mdogo,ni ukweli usiopingika kile ni chuo bora east africa na kina historia na heshima kubwa ndani na nje ya nchi! wakufunzi wa viwango vya juu mfano prof shivji,kabudi,dr lwaitama.. na kimetoa na kinaendelea kutoa wanaharakati makini kama kina tindu lisu,zito kabwe,josh nassari na wengineo..
mimi sio mwana udsm ila hapa umechangia kwa hisia. kwan gpa kitu gani m2 mwenye gpa ya 4.5 na 2.3 wote wana uwezo wa kufanya kazi gpa madesa tu yale
umekula ban kihalali kabisahii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
Wabongo mbona mnapenda porojo? Kama hujui lolote kuhusu FINCA si bora ukae kimya....jaribu kuelewa post. Habari za kubebwa na chuo zinatoka wapi?
dogo mbona watu wanakuelewesha hutaki kuelewa, unaambiwa swala la gpa kwenye real job environment sio ishu, kinachomata ni competency yako na ueledi wa hali ya juu katika kazi! ninao ushahidi wa watu wengi wenye hiyo hiyo upper second kutoka udsm kuajiriwa katika makampuni mengi nchini! na pia wapo wenye below pia wameajiriwa, na pia swala la kazi halijalishi umesoma chuo gani, kinachoangaliwa umesoma nini na unajua nini, nafurahi kuona sasa makampuni mengi yameanza kutoa WRITTEN INTERVIEW coz vijana wengi siku hizi mnapata gpa za chupi wengine za kununua afu mnakuja kutupigia kelele huku
kijana, unabahati sana nilikuwa likizo, KUDADADEKI, siku nyingine usilete utumbo kama huu wa kuongelea chuo badala ya ujuzi, weledi, maarifa na n.k. KUDADADEKI zakoMkuu unaongelea kuogopa sababu umeshaogopa? ujinga upi unaouongelea au unakuja tu nawe upate cha kuongea? Umeona upper second na UDSM peke yake?
huyu dogo anakera sana na elimu yake ya madesa, anabahati sana nilikuwa kwenye BAN, ninge.....dogo mbona watu wanakuelewesha hutaki kuelewa, unaambiwa swala la gpa kwenye real job environment sio ishu, kinachomata ni competency yako na ueledi wa hali ya juu katika kazi! ninao ushahidi wa watu wengi wenye hiyo hiyo upper second kutoka udsm kuajiriwa katika makampuni mengi nchini! na pia wapo wenye below pia wameajiriwa, na pia swala la kazi halijalishi umesoma chuo gani, kinachoangaliwa umesoma nini na unajua nini, nafurahi kuona sasa makampuni mengi yameanza kutoa WRITTEN INTERVIEW coz vijana wengi siku hizi mnapata gpa za chupi wengine za kununua afu mnakuja kutupigia kelele huku
nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?Tatizo watu wengi wanaichukia UDSM kwasababu walikua na dreams za kusoma pale ila wakakosa nafasi sababu ya ufaulu mdogo,ni ukweli usiopingika kile ni chuo bora east africa na kina historia na heshima kubwa ndani na nje ya nchi! wakufunzi wa viwango vya juu mfano prof shivji,kabudi,dr lwaitama.. na kimetoa na kinaendelea kutoa wanaharakati makini kama kina tindu lisu,zito kabwe,josh nassari na wengineo..
kaka huko canada bangi ni ruksaa?umekula ban kihalali kabisa
dogo, umesababisha nipige ngumi pc yangu kwa jazba!! bora tu nijirudie jukwaa la mambo yetu yale, maana huku watu wenye brain drain kama ninyi mtasababisha nile BAN kila sikuYaani wanavichwa maji sana hawa tatizo wana inferiority complex juu ya watu wa UDSM so ili wajihami inabidi watoe kashfa za namna hiyo.
kijana, unabahati sana nilikuwa likizo, KUDADADEKI, siku nyingine usilete utumbo kama huu wa kuongelea chuo badala ya ujuzi, weledi, maarifa na n.k. KUDADADEKI zako
Muanzisha mada nna mashaka kama kweli umesoma,na kama kweli umesoma nna mashaka kwamba elimu uliyoipata haikukusaidia meaning haujaerevuka,zama za kusifia vyuo zimepita mkuu dah unaona UDSM yenu kama iko mbinguni ungelisoma HAVARD au OXFORD nahisi watu tusingelala,fanya utafiti kabla hujaanza kupayuka na kuandika post zisizo na mashiko,kwa ajili ya watu kama nyinyi ndo maana watu wanahoji kuhusu pride ya hiyo UDSM yenu,pole