FINCA ni ya wa finland?

Tatizo lako umeoea kubishana.
Tuambie FINCA interest yake ni kiasi gani?
Iwapo mtu atashindwa kulipa FINCA wanamfanya nini?

Inawezekana nikawa nalo hilo tatizo kweli lakini katika hili umechangia kishabiki tena juu ya jambo ambalo inawezekana haulielewi kabisa.

FINCA wanatoa mikopo ya vikundi ambavyo wanacharge asilimia 4 kwa mwezi na mkopo unarejeshwa katika kipindi cha miezi kati ya mitatu na sita.

Mikopo ya mtu binafsi riba ni asilimia 3 kwa mwezi.
 
Sasa asilimia 5 niliyotaja mimi na hiyo 4 na 3 unazotaja wewe zina tofauti gani?

Inawezakan unashindwa kuelewa hesabu. For your information asilimia 4 kwa mwezi ni sawa na asilimia 48 kwa mwaka, yaani ukichukua mkono wa sh. 1,000,000 unarudisha 1,480,000. Mkopo wa namna hii hata Mengi hawezi kuafford!
 

ndo maana nimekuuliza unaposema riba ni kubwa unafananisha na ipi? nijibu tuendelee.
 
ndo maana nimekuuliza unaposema riba ni kubwa unafananisha na ipi? nijibu tuendelee.

Huna haja ya kufananisha na nyingine.

Wewe mtu akikurushia jiwe kichwani ukasema limeuma, halafu akakuuliza unaposema linauma unafananisha ni nini, utajibu vipi?

Kufananisha hakuna mantiki kwenye hili.

Kwahiyo unachotakiwa kufanya wewe ni iwapo unaona riba ya asilimia 48 kwa mwaka sio kubwa basi fafanua udogo wake na jinsi mfanyabiashara anavyoweza kuinvest huo mkopo mdogo apate faidi zaidi ya asilimia 48 kwa mwaka ili aweze kulipa mkopo na kupata faida, taking into account kwamba mkopo wenyewe anaanza kuulipa wiki mbili from the day aliyouchukua.
 

Okay.

Finca inawateja zaidi ya laki moja,na majority ya hao wateja (zaidi ya asilimia 70) ni repeat customers.unamaanisha hao wateja wote hawajui kwamba riba ni kubwa?
 

Okay.

Finca inawateja zaidi ya laki moja,na majority ya hao wateja (zaidi ya asilimia 70) ni repeat customers.unamaanisha hao wateja wote hawajui kwamba riba ni kubwa?

Umeona ushuhuda huo hapo juu?
 
Umeona ushuhuda huo hapo juu?

Huyo Ng'wanikeowisa ni Muongo, theory ya mkopo wa vikundi ni "Group Collateral" Kinachofanyika ni kwamba mtu ndani ya kikundi akishindwa kulipa mkopo wao wanakikundi ndio wanawajibika kuhakikisha kwamba analipa ama kwa kumchangia au kuuza hivyo vitu vyake (na sio wafanyakazi wa FINCA).

Pia sio kweli kwamba wanakikundi wanaweza kukimbilia kuuza vitu vya mwenzao kwa sababu ameshindwa kufanya rejesho moja au mawili, sio kweli ni uongo. hata hiyo mambo ya kuuza nyumba hakuna collateral ya nyumba kwenye mikopo ya vikundi hakuna kitu kama hicho na ushahidi ni hayo maneno yake kwamba eti alisema nyumba isiuzwe na haikuuzwa, uongo.

Badala yake, FINCA inatakiwa kushukuriwa kwa kuwawezesha ndugu zetu wenye kipato cha chini kuweza kupata opportunity ya kurise funds za kuendeleza biashara zao.
 

mkuu ikifika siku raia wote wakawa na elimu juu ya loans hakuna atakaye endelea kukopa tena. itakuwa ni mwendo wa 'Disintermediation' tu. mi naamini kama wewe ulivo na elimu juu ya hiz loans huwez hata siku moja ukakopa. mimi binafsi ktk maisha yangu sijawahi kufikiria kukopa labda kukopesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…