Nina biashara ya maduka mawili ya rejareja Mapipa karibu na Morogoro rd, nimedumu kwenye biashara kwa zaidi ya miaka 5 sasa ila mwaka huu biashara imeyumba kimtaji. Nahitaji financial partner anisupport sh. Mil 3 na laki 5 nifanye biashara. Kila mwezi nitakuwa nampatia faida ya sh. laki 3. Atakayekuwa tayari ani PM. Niko serious wakuu, baada ya miezi 10 biashara itakuwa inajiendesha yenyewe hivyo mtaji nitaurudisha kwa mhusika.