Una bond? Ili kama ukikimbia na hiyo pesa ,kuwe na kitu cha kufidishia,iwe ni gariu ama ardhi ama nyumba?
Kipo sehemu gani?
Nina biashara ya maduka mawili ya rejareja Mapipa karibu na Morogoro rd, nimedumu kwenye biashara kwa zaidi ya miaka 5 sasa ila mwaka huu biashara imeyumba kimtaji. Nahitaji financial partner anisupport sh. Mil 3 na laki 5 nifanye biashara. Kila mwezi nitakuwa nampatia faida ya sh. laki 3. Atakayekuwa tayari ani PM. Niko serious wakuu, baada ya miezi 10 biashara itakuwa inajiendesha yenyewe hivyo mtaji nitaurudisha kwa mhusika.
Unafanya biashara gani mkuu na sasa una mtaji kiasi gani?Wakuu nawashukuru sana kwa ushauri. Wale walinishauri kwenda Finca, Access na benk zinazotoa mikopo midogo yenye masharti nafuu nimefanyia kazi kwa kukutana na maafisa mikopo wao, wengi wanasema mteja mpya wanaanza na mil. 1 ikizidi ni mil 2, wengine wanataka kwanza nifungue akaunt nizungushe at least 3 months. So bado kuna ugumu kidogo. Nitaendelea kufuatilia ila pia yeyote binafsi aliyetayari kunisaidia nitashukuru sana.
Unafanya biashara gani mkuu na sasa una mtaji kiasi gani?

By georgeallen

Unafanya biashara gani mkuu na sasa una mtaji kiasi gani?

Mkuu nina biashara ya maduka ya rejareja na stock iliyomo madukani inafikia mil. 2 tu.

By Sawia

Nina biashara ya maduka mawili ya rejareja Mapipa karibu na Morogoro rd, nimedumu kwenye biashara kwa zaidi ya miaka 5 sasa ila mwaka huu biashara imeyumba kimtaji. Nahitaji financial partner anisupport sh. Mil 3 na laki 5 nifanye biashara. Kila mwezi nitakuwa nampatia faida ya sh. laki 3. Atakayekuwa tayari ani PM. Niko serious wakuu, baada ya miezi 10 biashara itakuwa inajiendesha yenyewe hivyo mtaji nitaurudisha kwa mhusika.

Mikopo ya biashara mbona mingi tu siku hizi, nenda Access bank na uhakika utapata hiyo 3.5m unayotaka kama kweli hiyo biashara ipo.
Mikopo ya biashara mbona mingi tu siku hizi, nenda Access bank na uhakika utapata hiyo 3.5m unayotaka kama kweli hiyo biashara ipo.
Nenda Access pale Manzese! watakupa hela ila siyo hiyo 3.5, na mtu akikwambia anakupa hiyo kataa maana biashara yako haitaweza kulipa, na kiwanja chako kitakwenda, Bank kama Access hawahitaji uzungushe a/c,
All the best bwana, future is so uncertain .....isije ikiwa ule usemi wa kukopa harusi lakini kulipa matanga.
Fremu ni zako au umepanga? Unalipa bei gani kama upanga? Sehemu ikoje, kuna movement ya kutosha? Competition ikoje sehemu hiyo ya biashara? Kiwanja ambacho kitakuwa bond kimepimwa? Na je ni wewe mwenyewe muuzaji hapo dukani au umeajiri watu? Biashara ya namna gani unafanya? Reja reja au jumla?
Wapi unanunua mzigo unaouuza? Je inabidi ulipe cash kila unaponunua? Huwezi kupata mzigo kwa mali kauli uuze ndo uje ulipe?
Nisamehe nimeuliza maswali mengi sana, ila ni machache kwa wanaojua 6C's na CAMPARI ikija kwenye suala la consumer lending
Asante sana kwa maswali mkuu. Nitajitahidi kujibu. Frem zote mbili za biashara nimepanga karibu na kituo cha Magomeni Mapipa - Morogoro road nyingine mbali kidogo na kituo ila karibu na barabara, frem ya kwanza kodi ni laki moja kwa mwezi (1.2m kwa mwaka) na tayari nimeshalipia kodi ya mwaka hadi February 2014, ya pili ni elfu 90 kwa mwezi (1.08m kwa mwaka) nategemea ku renew mkataba ifikapo 30 April mwaka huu. Sehemu za biashara zote ni competitive areas but the market is high, kuna wateja wengi maana ni sehemu ya heka heka na muingiliano wa watu ukizingatia kuwa ni karibu na barabara kuu ya Morogoro na pia karibu na kituo cha daladala. Kiwanja kwa ajili ya bond bado hakijapimwa ila kiko kwenye process ya kupimwa na nyaraka ninazo. Maduka yote nina wafanyakazi, kila duka mfanyakazi mmoja na huwa naenda kwa zamu kusimamia mwenyewe kila siku. Nauza kwa reja reja na bidhaa zangu huwa nanunua kwenye maduka ya jumla Kariakoo. Toka nianzishe biashara hizi nimekuwa nikinunua bidhaa by cash, sijawahi kununua kwa mali kauli. Kiukweli naipenda sana biashara ya mali kauli tatizo kwenye maduka yote ya jumla ambayo nimekuwa mteja hawatoi huduma hiyo. Mkuu kama kuna sehemu unafahamu ambapo naweza pata bidhaa kwa mali kauli nitashukuru sana tukiwasiliana zaidi kwa PM maana hiyo itamaliza kabisa tatizo langu.