Mimi nimesoma forex bible, naamini nitatoboaWafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi,kipi na kipi, safar unaionaje, utatoboa?
Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
Ukweli unasemwa fanya kivyakoHapa si mahali pako kaka..jifunze ustaarabu...
🤣🤣🤣🤣Nimepigwa mbaya sana .
Ngoja ni tulie kwanza i’ll comeback much heavier & strong
Mtapata tabu sana😂😂🤣🤣Last quarter iliyoanza mwezi huu watu tumechezea reds kwelikweli[emoji23]
Last quarter iliyoanza mwezi huu watu tumechezea reds kwelikweli[emoji23]
Hii michezo itawafilisi achaneni nayo.Nimepigwa mbaya sana .
Ngoja ni tulie kwanza i’ll comeback much heavier & strong
Kiweke hapa mkuu...Hongera sana mkuu, hicho kitabu kinaitwa trading candlestick bible (monehisa homa a.k.a a God of the market) komaa nacho mkuu utatoboa kina very powerfully system of trading kazia sana kwenye top down analysis,market structure and trading Tact's keep going budd
Kufilisika ni ngumu mkuuHii michezo itawafilisi achaneni nayo.
Kiweke hapa mkuu...
Download link:
Forex bhana😂😂mi nshachokaga kusoma, market structure na sentiment zinatosha sana. Ukiovercomplicate utaishia kua na mawenge kwny kila move ya soko. Anyway skuizi naona ni bora kuwekeza pesa yangu in less risky instruments kama soko la hisa (OTC Stocks) na baadhi ya cryptos. Haya mambo ya pesa za bumkubaa hazina guarentee na zina kapepo flani ka greed😂😂kanashawishi ile mbaya.Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi,kipi na kipi, safar unaionaje, utatoboa?
Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
Usikariri, kipo kiitwacho forex bible kina pages zaidi 600.Hongera sana mkuu, hicho kitabu kinaitwa trading candlestick bible (monehisa homa a.k.a a God of the market) komaa nacho mkuu utatoboa kina very powerfully system of trading kazia sana kwenye top down analysis,market structure and trading Tact's keep going budd
Wenzako wameshakiri wamegaragazwa sasa "mkombozi" umekuja wape darasa si mnakutanaga M. City mnapeana info. Angalia usiwaongezee mamumivu zaidi ya walionayo.Itakufilisi kama hujui unachokifanya..
Jiangalie kwanza ulivyopauka kweny dp kama umekunywa sumu ya panyaUsijifanye unajua kila kitu, kama umeshindwa ni ww.. Ushamba wako na uvivu wako baki nao ww usiwaambukize wengine..et ukwel unasemwa kwa hiyo mwisho wako wa kufikir ni kwamba hii biashara ni scam?pole yako..kesho ntakuwa nahojiwa na ITV SAA 11:30 jion, usiache kutizama..
Kitabu hiki hapaMwandishi nan?
Thank you for your fixed mind pisi Kali..naona umeanza taarabu..kifup wewe huna akili ni mvivu,unaongozwa na emotion, unasikiliza watu bila personal research,kichwa chako kimejaa mifupa akili kidogo ndo maana unakurupuka kureply bila kusoma maudhui ya threads,ni mihemuko tu ndo imekutuma kujib wewe hukuwa na la kujibu apa, ulitakiwa ukae pembeni kisa tu ulisikia Fulani kapoteza hela forex tayali umeshaconclude na wew,bila ata kufanya research kwa wanaopiga pesa wanafanyaje! Control ur emotions bro.
NB, kama unafikiri waandishi wa vitabu wanajifurahisha tu awaandiki vitu halali ni mawazo yako acha watu wachimbe waujue ukweli
Robert Kiyosaki aliwah kusema ukitaka kumficha mwafrica kitu weka kwenye vitabu
We kama ni mvivu wa kusoma acha wenzako wasome we zunguka tu na vyeti vyako maofisin ukitafuta kazi ipo siku utaombwa ili upate ajira na utatoa
Nakushauri, kama unataka kuwa financially free jichimbie ndani kuanzia miezi 6 na kuendelea soma vitabu,Fanya practice utapata knowledge that will feed you and your family all the rest of your life..
Acha kejeli kwa vitu usivyovijua tafta ukwel kwanza ata sis tulikuwa kama ww wabishi kama ww na wengine humu jf, but now najuta kwa nn sikuanza mapema labda ningekuwa kwenye level za kina Sandile, Ref whyne, DJ coach, okello odingo na wengine waliofanikiwa..