Financial Consulting Services-Freelancer

Financial Consulting Services-Freelancer

giraffe04

New Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Habari Wanajamii,
Natumaini mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kutafuta ridhiki,
Nakuja mbele yenu kama Freelancer ninayotoa huduma zifuatazo:
1. Preparation of financial reports
2. Preparation of Payrolls
3. Filling of tax returns ie PAYE & SDL returns, VAT returns, Withholding taxes, Provisional and final returns
4. Stamp duties
5.Representing in tax audits
6. Stock taking
7. Other statutory returns ie NSSF & WCF
Ninatoa huduma hizo within the due dates kuepuka penalties na ni guarantee kua hakuna non compliance kwa any of my client.

I am a CPA holder na nimeajiriwa as a Senior Auditor kune Auditing firm

Karibu PM kwa maswali zaidi na maelezo zaidi

Ahsanteni sana
 
Audited FR unaandaa kwa bei gani mkuu?
 
Back
Top Bottom