Ili kukwepa yote hayo Fanya bachelor of accounts and finance (BAF) ili uwe unapiga mpira miguu yoteHellow,,,,,nilikuwa naomba kuuliza haya maswali kwa wenye ujuzi na masuala ya finance na accounting
1. Ni career ipi ina demand kubwa kati ya finance au accounting
2. Zipi pros and cons za kusoma finance over accounting au accounting over finance
Accounting is better than finance...What if umechagua bachelor of commerce??
Jitahidi ku cover na accounting for ur time kisha ufanye Mitihani ya NBAA utakuwa multipurposeWhat if umechagua bachelor of commerce??
Karibu sana ntakusaidiaNimechaguliwa hapo,,,hiyo course
Asa unahangaika na nini kuuliza ni nzuri hii... tutakuwa pamoja November Mungu akipenda.Nimechaguliwa hapo,,,hiyo course
Kwa hiyo umechaguliwa kozi ambayo huijui?Nimechaguliwa hapo,,,hiyo course