😍😍👍Lililo gumu ndilo sahihi kwako. Usilale na mtu ambaye haupo tayari kuzaa naye, atakuja kubeba mimba afu atakayekuja kuteseka ni mtoto. Ukiona huyu mtu sina future naye, achana naye fasta.
Haaaaaaa ,Madam uliyelala naye kwa mara ya kwanza ndio amekuoa??.Lililo gumu ndilo sahihi kwako. Usilale na mtu ambaye haupo tayari kuzaa naye, atakuja kubeba mimba afu atakayekuja kuteseka ni mtoto. Ukiona huyu mtu sina future naye, achana naye fasta.
Sio majukumu..watu wengine hawapendi kulea mtoto kwa kumnyimanyima malezi ya wazazi wawili kwa pamoja au kwa kificho..Salai wangai wai waaa!! Nikadhani umeponea kupata ngoma kumbe ni mimba? Ninyi kumbe ndo mnalazimisha dada zetu watoe mimba au kutupa vichanga kwasababu ya uoga wa kiboya wa kuogopa majukumu, wewe ni wakuchapwa viboko heavy visivyopungua 20 tena vyenye pilipili.
Aaaahh ndo maana, ndichi ndichi huko RR hazipatikan maana ni gharamaMkuu nilikuwa maeneo ambayo sio mgeni na kuulizia RR wanasema hamna sijui zimeadimika blah blah..


Dah 😂😂Watu wa huko wanapelekewa za Bukubuku. Au jero, saa ingine izi za hisani![]()
Huwa siwaelewi watu wanaobeza ndom..hawana tofauti na wale wanaosema hamna AIDs..Aaaahh ndo maana, ndichi ndichi huko RR hazipatikan maana ni gharama
Embu fikria kama unataka piga goli 4 unatakiwa utoe buku 6 .
Watu wa huko wanapelekewa za Bukubuku. Au jero, saa ingine izi za hisani
Sema nn.... Hongera kwa kuzingatia Utumiaji wa Ndom japo ilipasuka, iyo ni ajali kazin![]()
Aaaahhh kumbe na Mzigo alitumiaHuwa siwaelewi watu wanaobeza ndom..hawana tofauti na wale wanaosema hamna AIDs..
Postinor 2 (P2) imeniokoa,nilikuwa na wasiwasi maana alitumia late kidogo





😂 😂 😂 😂 😂 😂Haaaaaaa ,Madam uliyelala naye kwa mara ya kwanza ndio amekuoa??.
Hayupo tayari kuwa dingilaiKwanin unaogopa?
Kwani Rough rider bei gani ?Aaaahh ndo maana, ndichi ndichi huko RR hazipatikan maana ni gharama
Embu fikria kama unataka piga goli 4 unatakiwa utoe buku 6 .
Watu wa huko wanapelekewa za Bukubuku. Au jero, saa ingine izi za hisani
Sema nn.... Hongera kwa kuzingatia Utumiaji wa Ndom japo ilipasuka, iyo ni ajali kazin![]()
Haaaaaaa ,Madam uliyelala naye kwa mara ya kwanza ndio amekuoa??.
Huu ushauri ni mzuri ila nikwamba Hautekelezeki .
Kikubwa Mwana acheze na siku.,ameshindwa sana apige na ndomu
Ikitokea amepiga nyamnyama nasiku za hatari
Huyo ni mtu wa Afya, anajua afanye nn!!.