Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Good evening sis' and bro's
Najihisi mwenye furaha kushinda mtu yeyote duniani leo hii...
Kuna maeneo ndom zenye ubora zimepotea na zilizobaki ni za viwango vya chini,kupasuka katikati ya gemu ndio kitu zinafanya zimetaka kuniletea msala, good news ni kuwa nimechomoka na nitaangalia game ya UCL kati ya chama langu United na RB Leipzig kwa amani.
Tutumie zenye viwango mfano rough rider n.k