Kuna miti ya biashara achana na hiyo ya uoto asili, miti kama pine, mikaratusi, mitiki n.k ni miti inayopandwa kwa ajili ya biashara na nikujuze tuu siyo kila mtu apandaye miti anataka kuuza nguzo, miti inatumika kutengeneza karatasi, furniture n.k acha uogaMkuu kuna mkubwa mmoja serikalini kaanzisha kiwanda cha nguzo za zege. Likatolewa ze tamko kwamba wanataka wasitishe ukataji miti ya nguzo ambayo ni uharibifu wa mazingira. Ukija upande wa pili maliasili nao wanakomalia sana kukata miti. Kuwa makini mkuu
Mkuu kuna mkubwa mmoja serikalini kaanzisha kiwanda cha nguzo za zege. Likatolewa ze tamko kwamba wanataka wasitishe ukataji miti ya nguzo ambayo ni uharibifu wa mazingira. Ukija upande wa pili maliasili nao wanakomalia sana kukata miti. Kuwa makini mkuu
Miti ya pine ni ya mbao mkuu sio nguzo..... pia milingoti ni mult purpose kwa ajili ya nguzo na mbao pia ...vulevile inatumika kama mirunda kwa ajili ya ujenziMkuu kuna mkubwa mmoja serikalini kaanzisha kiwanda cha nguzo za zege. Likatolewa ze tamko kwamba wanataka wasitishe ukataji miti ya nguzo ambayo ni uharibifu wa mazingira. Ukija upande wa pili maliasili nao wanakomalia sana kukata miti. Kuwa makini mkuu
Kweli.. Japo soko la mbao ni pana zaidi.. Na gharama za nguzo za nzge ni kubwa sidhani kama tanesco wataacha kununua nguzo ya mufindi...Mkuu kuna mkubwa mmoja serikalini kaanzisha kiwanda cha nguzo za zege. Likatolewa ze tamko kwamba wanataka wasitishe ukataji miti ya nguzo ambayo ni uharibifu wa mazingira. Ukija upande wa pili maliasili nao wanakomalia sana kukata miti. Kuwa makini mkuu
ni bonge la uwekezaji wa muda mrefu Nina mpango wa kulima ekari 40 ndani ya miaka mitatu ijayo hapo naamni kama mungu akinijalia naweza kustafu kabla ya muda na kufanya biashara nyinginehiyo ni biashara nzuri sana after 10 years unaweza kuvuna ukauza kila mti kwa 15,000×2250 ni zaidi ya 337,000,000 ni bonge la uwekezaji halafu watu wanalia eti serikali serikali!ebooh kufa na tufe!
kilichonishangaza ni huku mufindi ndani ndani kuna hadi raia wa Kenya na Rwanda wamenunua mashamba makubwa na kupanda Miti huku watanzania tunaendelea kupiga soga kuwa hakuna ajira.Kweli.. Japo soko la mbao ni pana zaidi.. Na gharama za nguzo za nzge ni kubwa sidhani kama tanesco wataacha kununua nguzo ya mufindi...
unajua miti hiyo ulioipanda itatumia miaka mingapi kuvuna? mbao?Miti ya pine ni ya mbao mkuu sio nguzo..... pia milingoti ni mult purpose kwa ajili ya nguzo na mbao pia ...vulevile inatumika kama mirunda kwa ajili ya ujenzi
So uko Tayari kuvumilia miaka hiyo?15km kutoka barabara ya Iringa-mbeya. wastani wa miaka 10 inakuwa Tayari kuvunwa.
Tanzania shamba la bibi lisilovunwa na wajukuu,kilichonishangaza ni huku mufindi ndani ndani kuna hadi raia wa Kenya na Rwanda wamenunua mashamba makubwa na kupanda Miti huku watanzania tunaendelea kupiga soga kuwa hakuna ajira.
yap niko tayari kuvumilia ukizingatia nikisema miaka 10 ni mingi je miaka 10 ilopita nilifanya nn cha maana jib ni hakuna! Hata ningekuwa Nina miaka zaidi 40 sio mbaya coz kuna wategemezi wangu watanufaika nayo mkuu!So uko Tayari kuvumilia miaka hiyo?
hope uko below 30.