Hahahaha umenikumbusha mbaaaaali sana.
Hii ndio MMU Masalia sasa.
Sisi wenye mahitaji maalam tumekosa....(some 40+ could have been great)ndio nimegeuza miaka 19 juzi juzi......nahitaji hii ujue......
:nono:preta umesemajeeee?thijakuthikia kabitha ati😛layball:
Zion Daughter hebu kanusha.....i know Asprin sio bazazi.........
Ok...hii nitoe ushiriki! Hakuna taxi....Hahahahahahaa...............Generation Y pambafu zake...!!
Dereva Taxi siku hizi ni mzee wa kurudi mwenyewe kimya kimya.
Mzee ya wivu mwingi naona ameanza kijiachia taratiiibuuu!!!!
Unatakaaaaaaa............Aseeeeee siku hizi Eliza yupo Uwanjani kwenye mdudu choma.
Umemsikia Preta? amesema anataka nini tena???.....hebu fanyeni miundo mbinu jamani.
Jamani Asprin, Teamo, Preta, Zion Daughter Bigirita na wengine tumsaidie huyu kijana kupata mpenzi, mbona maneno yenu yanavunja moyo kwa mtu anae tafuta mpenzi.
afadhali amekuja Gwamahala kwani atanisaidia hapo maana naona huyu snochet kaanzisha vagi
Naona kama umekosea sehemu ya kufungukia, ungekuja kwenye
White party ndio ungejua umekosea njia..
hapa jf kuna mijimama, mipashkuna, suburi uongeze umri kidogo
Iam deeply sorry..I am signing out from this thread
Hivi watambua kuwa kuthubutu kutenda lile uliwazalo kunakupa hatua zaidi moja?
Anyway, am here dadangu sema kijana analeta vagi gani tena? (Ila kajieleza vizuri kweli inaonyesha ana NIA ya dhati).
umechelewa kidogo si alinimention kwenye thread yake pale juu saana mwanzoni mwa maandishi yake halafu akatoa nikamwambia aweke ajaweka kwani nini ananitafutaa ubaya kiasi hicho mwambie nduguyo aiweke lasivyo nitafundisha adabu mara moja, mwambie sasa hivi kabla sijaunda TUME YA KATIBA KUMJADILI YEYE ASIFIKIRI KUWA MM NASHINDWA NAWEZA TENA SANA hapa
Generosity is not just about material things, I hope mdogo wako anajua hilo. We don't need a gold digger, coz hao wapo wengi tu.
That is not what I meant jamani, we are are just chakachuwing. rudiiiii :A S-heart-2:Iam deeply sorry..I am signing out from this thread
sikutegemea kama maneno haya ungeongea wewe uliyekosa adabu hata kwa mama yako yani unatukosea adabu sis humu ndani wote, hebu tuombe radhi yani wanawake wa jf humu sisi ni mipakashume, mijimama, huna adabu hata kidogo laiti ungekuwa karibu yangu ningekutandika fimbo kumi wewe uliyekosa adabu mwana wa mitaani wwewe hebu omba radhi lasivyo nitakupeleka kwa farao sasa hivi muda si mrefu, jamani wanawake wenzangu mnakubali kutukanwa ovyo humu mjengoni akina Madame B, charminglady, sweetylady, gfsonwin, Mamndenyi, cacico, Zion Daughter tumpe adhabu gani huyu kama ajajirekebisha kwa kutengua kauli yake naunda TUME muda si mrefu
referee @work ... Good reccomendation!
Nimeishi Moshi for like 17 years na sidhani kama ni ngumu kukutana na ladies wa hiyo age group na kufahamiana nao kiurahisi zaidi kuliko unavyofanya kupitia Jamii forums.
@snochet mdogo wangu, naomba kukuuliza swali moja..
Moshi umekosa kabisa wadada wwanaokidhi vigezo vyako au ni kwa sababu uko busy sana kuweza ktembea na kujionea?
Nimeishi Moshi for like 17 years na sidhani kama ni ngumu kukutana na ladies wa hiyo age group na kufahamiana nao kiurahisi zaidi kuliko unavyofanya kupitia Jamii forums.
It's more fun getting to know a lady the natural way you know..kuna MUCCoBS, Mwenge sjui Mweka najua saivi Moshi kuna a lot of colleges...plus town imeendelea sana tofauti na enzi zile. Now kuna Makumba bay, ile garden nshasahau inaitwaje, kuna Mr price, kuna pale ccm mkoa..yani siku hizi kuna a loooot of places ambazo unaweza kukutana na watu wa rika yako bila shida.
I want to know cha zaidi hasa wewe kuja huku...IF YOU DONT MIND THAT IS.
IN OTHER NEWS: Roulette, can I get to know you in person sis??