Finally: Huawei e173 unlocked!!!

eucalyptos hiyo huawei unlocker sidhani kama inafungua modem zilizo customized firmware kama hiyo E173 ya hewatel.
Kuhusu kuattach file fuata mtililiko huu ndiyo ninaotumia ila nadhani wengine watakupa short code za kufanya hiyo kitu.

Hatua za kufuata:

1.andika maelezo yako yoyote kuhusu file/software unayotaka kuattach then nenda -Advanced.
2.Check juu kulia utaona sehemu ya kuattach, click hapo.
3.Itatokea pop up wewe click browse then direct sehemu lilipo file lako (Muhimu format ya file lako iwe Zip au Rar)
4.Click upload then wait hadi imalize mchakato
5.Ikishamaliza kuupload close ile window then click submit reply
Check screen shoot hapo chini zitakusaidia kaka.





 
mbona ku unlock kaz rahisi hasa iyo modem..anae taka nimwelekeze anitafute FB. kelly rwakatale
 
Hiyo software ninaitumia sn me ku-unlock my modem e153 ila inaruhusu kutumia line tofauti kwa muda, ukishaitoa tu midem ukiweka tena inabidi urudie tena. ningependa kupata ambayo inachakachua permanently
 





Shukrani kwa taarifa yako. Mimi unlocked huawei yangu Modem kutoka tovuti hii Wickedunlock.com kisha unlocked huawei yangu Modem kwa urahisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…