Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 444
Habari zenyu wakuu,
Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni firmware customized, Tatizo ni moja tu, haichakachuliki bure ni lazima kutoa bakshishi kidogo, anayetaka ani PM.
Vp wat about E153u-2 i've tried every unlocker but none have worked...
ni ile ya airtel au?
mambo ya pm ni uchoyo, weka tu hapa
Habari zenyu wakuu,
Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni firmware customized, Tatizo ni moja tu, haichakachuliki bure ni lazima kutoa bakshishi kidogo, anayetaka ani PM.
we jamaa huna nia ya kusaidia wenzio ila unataka upewe hela kwanza, nautoa uzi wako hapa
nadhani yuko right .hii kitu mpaka uwe na credits

Kuna ka software kanaitwa HUAWEI UNLOKER, niliwahi kuwatumia baadhi ya watu hapa. Kanafungua moderm karibu zote za Huawei kasoro zile za kizamani.
Unaweza kugoogle au ukishindwa kukipata tuma anuani kwa PM ili nikutumie.