Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

aisee Erickb52 vipi umeshawaona watoto huko meatu? wa Mr Rocky nasikia
Hahahaaaaa Kaizer wale watoto wapo na nasikia baba yao ana mpango wa kwenda Kuwafuata na inawezekana kesho akaenda Meatu kuwachukua!
Dah bora Mr Rocky aende tu maana hawataendei haki watoto wake coz wanampenda sana!
Mi niliwapa jero jero za pipi basi!
 
Last edited by a moderator:
Mwenye hamu ya kukutana na mimi ani pm. Mi nataka kukutana na wote ila mwenye nia
 
matapeli wa rockicty na acity, Erickb52 na Judgement wakutana kubadilishana utaalamu
 
Last edited by a moderator:
natamani na mie ningekuwepo hapo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…