Hehehehe uko bar gani nikufuate?
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
Hahahaha njoo pande hizi za lenana resort pana kuku wa ukweee! Karibu sana!
Owkey......ngoja nidandie boda boda chapu!
Imekaa mswano! Basi tuwaambie na wengine.
mimi nataka kuonana na wewe......
Imekaa mswano! Basi tuwaambie na wengine.
poa wee ndio coordinator pendekeza venue na wale watakaokuwa tayari watakuPM namba zao kwa kurahisisha mawasiliano.