kukutana, kufahamiana na kubadilishana mawazo ni jambo zuri si vibaya pia kwa sisi tunaokaa Dar tukapanga japo siku moja ya week end tukakutana kwa lengo hilo nafikiri tunaweza kufungua ukurasa mpya.. wa kusocialize mambo!
Agree, mi napendekeza tukutane jumapili ya wiki hii.
Erickb52 is a good boy you know meen.
Huna hamu ya kukutana na mimi cacico!?? Am dying to...😛layball:Thats nice! Its sooo nice mkimeet in person! Cant wait kuonana na BADILI TABIA na Kongosho, coz Yummy tayari na hubby kila cku nipo naye! Lol
Heheheheee ma wife lazma unikubali lol..! Vp hujamwona mke mwenzio?
hivi we unadhani mtu ambaye anapewa ban kila mara humu akikutana na paw bila kufahamiana halafuMbona mimi mmenibagua jamani? Kwa vile nilisema ningekuja na Paw? Tukiwa mtaani hapigi ban.
ok vipi jmosi kuanzia saa 9 mchana naona kama imetulia. jumapilikuna wengine wakienda makanisani ni siku nzima
je kwa siku mmja unaweza mwelezea mtu hivyo
mmmmhhhhh mboni kawaida tu kukutana na member wenzako hapa anatafutwa sana BT sijui ntamuonea wapi..
Thats nice! Its sooo nice mkimeet in person! Cant wait kuonana na BADILI TABIA na Kongosho, coz Yummy tayari na hubby kila cku nipo naye! Lol
Thats nice! Its sooo nice mkimeet in person! Cant wait kuonana na BADILI TABIA na Kongosho, coz Yummy tayari na hubby kila cku nipo naye! Lol
hivi we unadhani mtu ambaye anapewa ban kila mara humu akikutana na paw bila kufahamiana halafu
wakajitambulisha unadhani nini kitatokea?
Mimi nataka sana kukutana na ruttashobolwa na nina hakika hatakuwa peke yake...
mi nipo mbali sana ili kuonana mpaka ticketWana c u excellent where u at hebu nambie njipange hehehe staki miee mijicho yangu ntakavyoitumbua hihihihii