Finali ya Miss chitchati sept; Charminglady v/s Remmy mpigie kura umpendaye

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Habari za kuanza weekend wakubwa

Baada ya kumaliza kinyanganyilo cha kuwasaka wawili watao ingia fainali,hatimaye wale washindi tola katika kila kundi wana chuana ili kumsaka Miss chitcha sept,hapa ni warembo Remmy v/s charminglady

Remmy

https://www.jamiiforums.com/customavatars/thumbs/avatar16543_5.gif

charminglady
https://www.jamiiforums.com/customavatars/thumbs/avatar86898_1.gif

kumbuka One member,One vote
mshindi kutangazwa saa 6 kamili usiku
mwisho wa kupiga kura ni saa 5 na nusu usiku
unaruhusiwa kujipikia kura na mtu yoyoye anaruhusiwa kufanaya kampain ya kuiomba kura

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Remmy nipe kwanza kigwangala [Kitumbua] ulichöniahdi. Ukinipa nitashawish watu wakupgie kura. Na mimi ntapga kura 35 kwa njia tafauti.
 
Last edited by a moderator:
Nani zaidi kupeperusha bendera ya miss chitchat mwezi sept baada ya miss cacico kukuperusha miss chitchat mwez augost?Piga kura kwa umpendaye kati ya charminglady na Remmy
 
Last edited by a moderator:
Mgombea yeyote aliahidi kutoa rushwa ya ngono au vyovyote asipewe kura. My respect vote to charminglady.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom