Nasikia anakoishi Ruttashobolwa kule kwa mtogole hakuna maji wiki ya tatu sasa...
Kama unavyonionja mimi kila siku Hubby.
mweleze loya hapa ndio kwenyewe unaoga na maji yalotiwa iliki
Nasikia anakoishi Ruttashobolwa kule kwa mtogole hakuna maji wiki ya tatu sasa...
Your so sweet, no one like you wangu!
Acha uzushi wewe.
Tumejibanza zetu Maghorofani.
Hatutaki shobo na mtu eboo!!
Naona unataka kumfata kamanda sharobaro!
Kumbe maghorofani niilisikia vibaya,
Maghorofa ya jeshi Mwenge maji
hayajawahi kutoka tangu mwaka 1980....
Daaaah haya maji ni noma!
Philipo asiogeshwe na haya maji tafadhali.
Acha uzushi wewe.
Tumejibanza zetu Maghorofani.
Hatutaki shobo na mtu eboo!!
Hebu eleza kwa Urefu unataka kunijuaje zaidi ya hapa?
Kiundani au?
Unamjua Loya wewe?
Utahama CC sasa hv,mali ya Mtu hii,imelipiwa VAT.
...maghorofa ya Ada Estate wewe.
Twakulana kwa raha zetu.
Twalishana.
Cjui wewe mwenye wivu na jicho la Uhasidi.
Basi nitafutie mdogo wako wa humu jamvini, ambaye si mdakumdaku sana, na ambaye hajawahi kuwa na mahusiano ya karibu na Arushaone, Filipo, Erickb52, wala nitonye, Asprin au Ruttashobolwa.oh, sory for u. . . me ni mke wa C6 tena mama mtarajiwa. mwezi utao natarajia kupata kidume cha mbegu! we andaa nepi za kufa mutu....
Utahama CC sasa hv,mali ya Mtu hii,imelipiwa VAT.