Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,971
- 32,270
kwi kwi kwi! Wanimaliza mbavu zangu, eti nyama za mikono, mie nna nyama za niniliu tu, ila nyuma pasi, mbele pasi, na mikono ka fimbo, lol! Kazi ipo!
Naona ume papenda sana alipo Kamanda sharobaro!
makubwa haya ulikuwa wapi hadi nibebe ya pakajimmy?pakajimmy is just my best friend naona unapata wivu sasa na unataka kurudisha nyuma juhudi za kukubadilisha,umenoa hata liverpool anajua huyu mtoto copy yako,