Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PakaJimmy, Oct 23, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wengi mwanzoni walikuwa wanajua kuwa Filipo ni mtu wa jukwaa la siasa, lakini baada ya kufahamiana na marejesho na sweetlady amebadilika kabisa, na alishaacha hata kuripoti matukio "Live" ya kisiasa.

  Hizi chini ni comment za wadau waliokuwa wanamjua kuwa ni mtu wa Politiki:

  Mzee mwenzangu Filipo, RUDI NYUMBANI, Chit-chat hapakufai!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Huku hatoki mtu.
  Mademu wa Huku ChitChat tunajua kulea wanaume.
  Twawabeba,
  Twawaogesha na Kuwalisha juu,
  We PakaJimmy acha mambo yako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli huyu mzee mwenzetu ametuacha hoi...hebu Madame B nipe mauzoefu, usikute na mimi na ndevu zangu za shaba nikaamua kuhamia umlajumla!....huh!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yani PakaJimmy huku ChitChat ni full mautamu mpaka moyoni.
  Ngoja waje wanaume wenye Mapartner zao humu ChitChat wakueleze ni kipi kinachowafanya Wasitembelee Majukwaa yenu.
  Lol..!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mimi sikudhani kama marejesho ni mpishi mzuri wa mishkaki!
  Hongera yake......................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti umechakachua mbonasikumbuki kumrushia tuhuma hizi Filipo...lol
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mungi, Inaonyesha watu wa chit-chat wako vizuri...
  Angalia lakini mkuu usije ukahamishia majeshi huko, tutakosa Live-Coverage bana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Shida yako Crashwise ukinywa Sparletta unasahau sana!..hukumbuki pale Country-Coffer Jumamosi iliyopita?...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu coverage utazipata kama kawaida, ila nimegundua members wa chitchat wanapendana sana.
  Lile Jukwaa letu la stress nalipenda sana............................... angalia kwa mfano Membe naye kaingia kichwa kichwa kama kakake kusign mikataba uarabuni bila kuusoma. hii ni hatari sana kwa afya ya nchi yetu, ameonyesha udhaifu kabla hajaanza kujipitisha pitisha kutaka kukabidhiwa kiatu cha buraza.............go to hell membe!
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Chit-Chat hoyee...
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  chezeiya chit chat weye PakaJimmy, hivi wewe una mke humu kama unaye intro please! isijekuwa watafuta umtokee nani. . .
  VIVA CHIT CHAT VIVA!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  I'll be back!
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu jiandae kabisa.........................ikiwezekana majibu chorea chini kwanza ndo uje full mzuka
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mungi,
  Ukiwa Chit-chat jitahidi usiongelee kabisa siasa, naona mkuu umeshindwa kabisa kuendana na hili jukwaa!
  Huku inabidi utajetaje watu sana, ndio jadi ya akina Filipo kwa sasa!
  Mazowea mabaya jamani!

  By ze way, Membe amejiengua mwenyewe kwenye hata ile nafasi ya kufikiriwa!...Inaonyesha tende zilikuwa zimeshaandikwa mezani, akaona atachelewa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  unakwenda wapi
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  amwulize loya mambo yote yapo huku
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,743
  Trophy Points: 280
  Mungi mzima weye hongera kwa kuendelea kuijaza dunia..........chezea marejesho wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Asante Mamkwe, Philipo kalishwa mishkaki na marejesho amesahau kabisa mlango wa kutokea hahaaaaaaaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hapana ilikuwa Stone Tangawizi..lol
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Shangazi upo....
   
Loading...