Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini?

Si unaona na wewe umeanza kukolea taratiiibu mkuu PakaJimmy, na hapo kesho ukiingia tu JF stand ya kwanza huku jamvini, uzuri wa huku ni kuwa tofauti na kule kwenye jukwaa la stress.
i. Huku hutaskia kelele za vyama kama ilivyo kule,

ii. Huku hutaskia kauli za kibaguzi kwa misingi ya dini.

iii.Huku unaweza hata kum kiss Madame B afu ruttashoborwa akakugongea like. yaani huku ni full shangwe

Hapo No. 3 utakuwa aidha umechoka kuishi na unapahitaji Guantanamo Bay au The Hague.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom