Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
chief mkwawanimefuta medias zangu na vitu vingine kwenye smart phone samsung s3, kuna app yoyote inayoweza kusaidia ku recover
cc chiefmkwawa, kikulachochako
Chief mkwawa, hi my name is JK Mushi. I have a problem with my Sony Digital Video Camera Recorder model No. DCR-SR20E can you please help me resolve an Error: C:13:02 that keeps displaying on the screen with this message below: overheated. Cannot access media. Turn of power and leave for awhile in a cool place?
Nimefuta medias zangu na vitu vingine kwenye smart phone samsung s3, kuna app yoyote inayoweza kusaidia ku recover
Cc Chief-Mkwawa, KikulachoChako
Habari Chief, unajua data recovery tool yoyote ya kwenye simu ambayo haihitaji ku root simu?!
Mkuu nimecheki Sasa hivi haiwezekani kupata mafile ya android 100% sababu ya Encryption ya android, unachopata ni cached files, mfano kama ni picha, ile picha halisi yenye resolution kubwa huipati Bali unapata thumbnail ambazo wanazitumia kwenye gallery na app zifananiazo ambazo ni low resolution za ile picha halisi.Habari Chief, unajua data recovery tool yoyote ya kwenye simu ambayo haihitaji ku root simu?!
Hata hizo thumbnails sizipati. Apps nying zinascan lakini zinakuletea picha ambazo zipo tayari kwenye simuMkuu nimecheki Sasa hivi haiwezekani kupata mafile ya android 100% sababu ya Encryption ya android, unachopata ni cached files, mfano kama ni picha, ile picha halisi yenye resolution kubwa huipati Bali unapata thumbnail ambazo wanazitumia kwenye gallery na app zifananiazo ambazo ni low resolution za ile picha halisi.
Wewe ulikwama wapi?
Umejaribu apps kubwa za kulipia? Kama Dr fone ya wondershare, easus etc jaribu trial scan warakuonesha walichofanikiwa then watataka ulipe.Hata hizo thumbnails sizipati. Apps nying zinascan lakini zinakuletea picha ambazo zipo tayari kwenye simu
Za kulipia zipo ila nilikuwa najaribu kutafuta za bure. Hiyo EaseUs nilidownload ya pc lakini haisomi storage ya simu. Kama itashindikana kabisa nitaangalia ya kulipia tuUmejaribu apps kubwa za kulipia? Kama Dr fone ya wondershare, easus etc jaribu trial scan warakuonesha walichofanikiwa then watataka ulipe.
Scan tu ujue zipo ama hazipo.
Lengo hapa mkuu ni kuangalia kama zipo, kama zipo ndio unahangaika na za bure baadae.Za kulipia zipo ila nilikuwa najaribu kutafuta za bure. Hiyo EaseUs nilidownload ya pc lakini haisomi storage ya simu. Kama itashindikana kabisa nitaangalia ya kulipia tu
Nilidownload nayo, inaonyesha picha ambazo zipo tu kwenye simu lakini sio deleted. Inaonekana labda mpaka nilipie!Lengo hapa mkuu ni kuangalia kama zipo, kama zipo ndio unahangaika na za bure baadae.
Easeus wana app playstore inaitwa Easeus mobisaver
Hata ukilipia ni hayo hayo mkuu, Dr fone nayo jaribu, ikikataa kuna possibility kubwa simu yako ina encryption kaliNilidownload nayo, inaonyesha picha ambazo zipo tu kwenye simu lakini sio deleted. Inaonekana labda mpaka nilipie!
Ahsante kwa onyo, kuna apps kadhaa za kwenye pc nimeziona, nataka nizidownload kesho nikifeli hapo basi!Hata ukilipia ni hayo hayo mkuu, Dr fone nayo jaribu, ikikataa kuna possibility kubwa simu yako ina encryption kali