iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
habari zenu
wadau naomba mnisaidie kujua ni program gani niitumie ili kuconvert flv,mp4 files kwenda avi na hizo kwenda vob.bup files
tumia FREEMAKE VIDEO CONVERTER ni ya bure na ui yake nzuri hata kwa begginer
http://download2.freemake.com/FreemakeOriginals/FreemakeVideoConverterSetup.exe
asante sana ndugu kweli hii ni rahisi ila inafanya PC inazima kabla ya kumaliza kuconvert na nikiiwasha inaanza upya
inazima kwa sababu unaiacha muda mrefu au inazima ukiwa hata unatumia?
Try to compile the files and burn as "DVD Video" --- the output will give you file.vob; bup file is an incomplete file! - a vob compliment:A S-cry:!!
tumia FREEMAKE VIDEO CONVERTER ni ya bure na ui yake nzuri hata kwa begginer
http://download2.freemake.com/FreemakeOriginals/FreemakeVideoConverterSetup.exe
Tumia program inaitwa format factory hio ndio mwisho wa maneno...
thanks mkuu
binafsi nimeitumia hapo nyuma ila kwa sasa nimejaribu kuidownload na kuinstall kwenye windows 8 32bit imekataa.
Sijajua nini tatizo na nimetumia the same app with same specs za hiyo window
hapana siyo kwamba ina sleep yaani nikishaselect movie ya kuconvert nafanya process zote ikianza kuconvert ikifika kwenye asilimia 27 PC inazima kabisa na nikiiwasha inaanza mwanzo kabisa na ile movie inakuwa kipande vilevile
jaribu kurun kwenye compability mode chagua windows ya nyuma uliotumia (windows7 au xp)