alipo kuambia tu uache mpira tena bila ya kukupa sababu za msingi na wakati zamani alikuwa anaupenda ilikuwa ni sababu tosha ya kumuacha.
Mwanamke wa kweli ni muwazi, sio kigeugeu, anamthamini mwenzake na kumpendelea mazuri.
Huyo alikosa sifa za msingi.
afu na wewe acha ufala mpira ni mazoezi utaachaje?na mwanamke wako kilaza bila mazoezi hizo pumzi kwenye uwanja wa fundi seremala utazitoa wapi?
Mkuu Tigga Mumba, mimi naipenda zaidi PES kuliko FIFA. Tena baada ya kuachana ndio nilikuwa nalala saa kumi na moja asubuhi. Hapo nimeanza kucheza saa mbili usiku.
Ki ukweli napenda michezo michezo sana. Nikanunua draft, monopoly ili mida ambayo hamna story, hamna pa kwenda au hamna cha kufanya basi tucheze na huko huko story zinakuja tu.
Huyu wa sasa naye naona anaanza kwenda against. Sasa sijui nafanyaje. Nakosa raha maana ninachopenda sifaidi na ninayempenda naye simfaidi.
Kwenye mapenzi kuna compromise. Unavyovipenda vingine unaacha na usivyovipenda vingine inabidi ukubali(constructive lakini).
Kwa mfano akina mama wengi MUDA hawajali au wako slow kimtindo. Kujiangaliaa kioo cha bafuni, chumbani, kwenye gari mpaka kwenye pochi yake na akifika mnapokwenda ataenda tena kujiangalia. Hii yote inapoteza muda ila unazoea na kukubali tu. Ukitaka kwenda sehemu unamwambia mapema.
Ndugu kaza uzi. Kama uliyenaye unampenda kaza uzi. Hakuna atakayekamilisha kila utakacho and vice versa.
NB: FIFA am the Champion. PES haina licenses nyingi ndio maana ila I can play too

umeongea mengi ya msingi sana....lakin this should apply to constructive things....
itajenga zaidi na si kubomoa........