Paphect
Member
- Sep 2, 2017
- 10
- 15
Hakikisha kila majira ambayo Mungu amekupa kuishi hapa duniani unajifunza kuunganisha FIKRA ZAKO na MUDA ULIONAO.
~
Ukishindwa kuunganisha fikra na majira unayoishi ni rahisi sana kuishi maisha yaliyo nje na kile Mungu alichopanga ukifanye hapa duniani kwenye majira husika.
~
Ni rahisi kufikiri na kufanya mambo yaliyo nje ya majira na muda husika. Hivyo, ni lazima mfumo wako wa kufikiri uendane na kile ulichobebeshwa kwenye majira na nyakati unazoishi.