Fikra pana

Fikra pana

Msanumbi

Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
43
Reaction score
36
Hey What's up everybody

Le me share dis ting to u guys u lookin for a husband/wife/boyfriend/girlfriend

U know what body

That's not means usitafute but I want to tell you one thing

Kila binadam yuko na mapungufu kibao nobody is perfect

Kitaan kwenu au ktk pitapita zako umemeet na watu kibao ambao huwenda hukuwah hata kutafuta urafiki nao na pengine kufikia mahusiano mpk ndoa ,Ila macho yako hayakufanikiwa kuona uzuri wa aina yoyote kwa m2 hata mmoja,na badala yake unaweka vigezo na mashart kichwani mwako na wengine tuliomo humu tunaviandika, that's not bad but the point is


Kila k2 unauwezo wa kukitengeza kikawa vile unavyotaka lkn kwa polite language,upole,stara, heshima n.k

Na ktk swala zima la mahusiano unaweza kuwa na m2 yeyote Mwenye vigezo vichache ila vingine utamtengeza mwenyewe ukiwa nae ili baadae uwe proud kuwa nae coz u create something into her/him ,

What I mean on this?

Kutaka mwanamke/mwanaume aliekua created ,kwenye kipato,elimu and some like that not bad but there's someone created her/him na ndio maana yuko hapo,

So usia wangu kwenu ni huu ,jaribu kufikiri vzr juu ya watu tofaut unaokutana nao Kisha fanya maamuz sahihi ya kumstiri mmoja na ukaamua kumjenga vile unavyotaka we awe akishakua good ni vyema utakua proud na inawezekana ukamjenga lkn asiwe bas huyo atakua sio Rizki yako,

Lkn kutafuta walikua tayar wameshajengwa ni mtihani kuwapata ,mzuri ni yule mnaeanza from Zero mpk mnakua Hero,

Kila mmoja anahitaji treatment za kawaida tu ili kumuweka sawa ili muweze kuendana kwenye kila sector sio mwanaume na sio mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tunapenda kitonga uvumilivu huo hatuna.😀😀
 
Sio Fikra pana kama unavyodhani.

Kuna sababu nying za watu kutafuta wapenzi mitandaoni.

Pengne mazingira hayaruhusu mtu huyo kukutana na kuonana na watu wengine.
Pengne vigezo anavyotaka hajaona mtu wa karibu yake anavyo,
Na nyingine nying.

Akishaona vya kurudhika , sasa hivyo vingne ndio atavumilia na kuvitengeneza.

Unaanzaje ziro na mtu? Kama je mtu hatak kubadilika?.
 
Back
Top Bottom