ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,161
ni kweli mtupu....hata mimi ya kwangu imeharibiwa na wanafamilia...manake tukigombana wanaingilia kati ..ndugu,ndugu...wanaharibu ndoa...mimi upande wangu nilionekna na demu sehemu mbaya...mdogo mtu wa kike akapiga picha akamtumia dada mtu na ndugu wengine na mashoga zao...sasa ndoa iko mashakani..lakini sijui yule mdogo mtu anapata faida gani..ila kwa sababu nyumba imekuwa ya moto nimeamua kuondoka kwanza niwaachie wakae na ndugu zake...na watoto pia....ila yeye ni kiburi na dharau ndiyo kwake!!!!natafakari kwanza