uwepo na binti atajulikana kesho baada ya wiki ilopita arsenal kuweka pingamizi ndoa isifungwe.Mkuu tafika bila kukosa
uwepo na binti atajulikana kesho baada ya wiki ilopita arsenal kuweka pingamizi ndoa isifungwe.
ni hapo bibi harusi mtarajiwa atakapogeuka bwana harusi.tunawangoja man u kwa hamu!
shemaleni hapo bibi harusi mtarajiwa atakapogeuka bwana harusi.tunawangoja man u kwa hamu!
We waache tu na ushabiki wao wa kuanza kutoa matokeo mapema watakimbiana
"... fika bila kukosa."
Ukifika kuwezi kukosa!! Kuna kasoro kubwa tu ya kimantiki katika kusema hivyo....
Bora kusema: usikose.
uwepo na binti atajulikana kesho baada ya wiki ilopita arsenal kuweka pingamizi ndoa isifungwe.
Hiyo sentensi ipo sawa kimantiki... Ikiwa na maana kuwa Muhudhuriaji afiki kwa muda mwafaka...! Yaani ufike bila kuchelewa, kwani unaweza kufika kwenye sherehe muda ambao sherehe imeshaisha... Utakuwa umefika lakini umeikosa harusi."... fika bila kukosa."
Ukifika kuwezi kukosa!! Kuna kasoro kubwa tu ya kimantiki katika kusema hivyo....
Bora kusema: usikose.
haya naona hamu yako imeisha bibi harusi alipendeza sana muziki wa bendi ya Chicharito na Vidic ulikuwa mzuri, sasa wameenda fugate hadi 28 mwali ndio anatolewa rasi pale WimbleyCode:
nna hamu man wapigwe leo afu wapigwe na barcelona patapendeza!!!!!!!!!!!!!!