Figo inahitajika

Figo inahitajika

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
116
Hii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.

Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba :0754-657622; 0682-068821; 0713-233989; Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine.
 
Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
Kati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?
 
million kumi ni ndogo sana atleast wafike hata 50m
lakini kati yao wote ni inamaana ni wanywa wa pombe na vuta sigara au maana sielewi kabisa
 
Mimi mtu akiniletea tangazo la hivi lazima nimchape makofi,wao kama wanaona 10M ni nyingi kwa nini wasitoe zao????
 
Hii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.

Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
mkuu fanyeni bilioni 1 hii yangu ni original
 
million kumi ni ndogo sana atleast wafike hata 50m
lakini kati yao wote ni inamaana ni wanywa wa pombe na vuta sigara au maana sielewi kabisa
Labda wana magonjwa ya kurithi kwahyo wanafamilia wana disqualify
 
Back
Top Bottom