screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,927
- 15,984
Bingwa wa uzito wa juu duniani muingereza Tyson Furry 'GypsyKing' kesho alfajiri atapanda ulingoni kuzichapa na Mjerumani Tom Schwarz, mabondia hawa kila mmoja ana rekodi ya kutopigwa je nani ataharibu rekodi ya mwenzake? Je Schwarz ambaye ni 'underdog' ataweza kufurukuta na kuishangaza dunia? let's wait n' see....View attachment 1128349