Fight night: huku Canelo Alvarez kule Kamaru Usman

Hisia zinaniambia Caleb anashinda.
Ata mimi natamani iwe ivo ila Canelo janjajanja sana hapo Vegas kapageuza sebleni kwake. Kwa haki na bila haki huyu mshenzi Canelo atashinda.

Huku middleweight anaonea na kutamba, Kama yeye kidume apande light heavyweight maana wakina bivol na beterbiev wanamsubiri kwa hamu sana huyu Mayweather mwekundu!
 
Ova
IMG_20211107_073353_919.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom