Apo unasema tudownload app gan play store???We ndo unafeli mkuu fuata tu maelekezo ya kudownload kwnye link then fuata hatua za video hiyo youtube ili licheze mbna m nimeingia sahz inakubali nungetuma picha sema inagoma
Mlolongo mrefuApo unasema tudownload app gan play store???
Fifa ni Gumu FTs ni jepesiFifa zuri Kuzidi first touch,nipeni uzuri wake
Mkuu hiyo username yako tu....nilishawahi kutana na mtu akiitwa hivyoFifa ni Gumu FTs ni jepesi
Fifa wachezaji wanafanana sura FTS hamna uhalisia unaweza kuta ata game wachezaji wote wamevaa heleni na lukaku mweupe
Fifa ina Kombe la dunia la vilabu
FTS haina kombe la dunia la vilabu
Hahahahah mkuu
Mkuu subiria Dls 19Mnazingua kudadeki link inagoma
Kuna chumvi umeongeza kali sana FTS wachezaji wanafanana? Huo ni ulevi wa fifa sasa,Fifa ni Gumu FTs ni jepesi
Fifa wachezaji wanafanana sura FTS hamna uhalisia unaweza kuta ata game wachezaji wote wamevaa heleni na lukaku mweupe
Fifa ina Kombe la dunia la vilabu
FTS haina kombe la dunia la vilabu