Tdm255 Member Joined Mar 17, 2018 Posts 8 Reaction score 3 Mar 19, 2018 #21 magnifico said: Yule ni mkubwa kuliko Kombe la Dunia. Click to expand... Mbona kama ana kilo 2 ivi
milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,167 May 26, 2018 #23 Diamond anaenda kuperform au haendi? Naona kimya na kombe linakaribia
I iphone se 2 Member Joined May 25, 2018 Posts 72 Reaction score 59 May 26, 2018 #24 milangomitatu said: Diamond anaenda kuperform au haendi? Naona kimya na kombe linakaribia Click to expand... aende asiende ww unapungukiwa nn
milangomitatu said: Diamond anaenda kuperform au haendi? Naona kimya na kombe linakaribia Click to expand... aende asiende ww unapungukiwa nn
milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,167 May 26, 2018 #25 iphone se 2 said: aende asiende ww unapungukiwa nn Click to expand... Mbona umenijibu kwa hasira? Maana alisema anaenda ndo maana nkaona kimya sasa nashangaa unanijibu kwa hasira
iphone se 2 said: aende asiende ww unapungukiwa nn Click to expand... Mbona umenijibu kwa hasira? Maana alisema anaenda ndo maana nkaona kimya sasa nashangaa unanijibu kwa hasira