eddy brown JF-Expert Member Feb 18, 2013 414 310 Jun 23, 2017 #1 Wana msimbazi mbona kelele za point 3 toka fifa zimeishia wapi?
Sibonike JF-Expert Member Dec 23, 2010 17,277 17,983 Jun 23, 2017 #3 Bado FIFA wanaandaa meza ya kuweka hizo point
Frank Wanjiru JF-Expert Member Apr 12, 2012 21,838 38,730 Jun 23, 2017 #4 Sibonike said: Bado FIFA wanaandaa meza ya kuweka hizo point Click to expand... Kweli kabisa maana pale TFF hawakuwa na meza ya kuziweka hizo points. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Sibonike said: Bado FIFA wanaandaa meza ya kuweka hizo point Click to expand... Kweli kabisa maana pale TFF hawakuwa na meza ya kuziweka hizo points. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,604 Jun 23, 2017 #5 Niyonzima amesababisha Yanga wazikumbuke hizi points.
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,773 9,967 Jun 23, 2017 #6 eddy brown said: Wana msimbazi mbona kelele za point 3 toka fifa zimeishia wapi? Click to expand... Acha wandelee kusubiri embe lidondoke kutoka kwenye mwarobaini.
eddy brown said: Wana msimbazi mbona kelele za point 3 toka fifa zimeishia wapi? Click to expand... Acha wandelee kusubiri embe lidondoke kutoka kwenye mwarobaini.